Je, BadgeKit iko tayari sasa?

Mozilla BadgeKit sasa inapatikana katika 'beta binafsi' kwa mashirika Teule kwamba kukidhi mahitaji maalum ya kiufundi. Vinginevyo, mtu yeyote anaweza kushusha kificho kutoka GitHub na kutekeleza kwenye server yao wenyewe.

Tutaendelea kuongeza vipengele ziada katika 2014, ikiwa ni pamoja na zana za kimsingi za ili kusaidia kukusanya, kushirikiana na kugundua .

Unaweza kuomba kupata beta binafsi iliyopakiwa katika http://www.badgekit.org, au kunyakua kodi ya kila chombo huku Github.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More