Kutazama barua pepe zote za Hotmail au Outlook

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Ki msingi, akaunti za Hotmail na Outlook huonyesha barua pepe kwa wakati fulani. Kuona barua pepe zako zote, badilisha mipangilio ya akaunti kupaki ujumber zote:

  1. Funga program ya email, kisha bommba kifungo cha menyu Orange FxOS button katika corner ya juu ya kushoto.
  2. Bomba mipangilio ya akounti Gray FxOS settings gear katika chini kushoto.
  3. Select the Hotmail or the Outlook account you want to change.
  4. Bomba menyu chini ya Synchronize na All messages.
    Outlook Sync
  5. Kisha bofya OK.
  1. Funga program ya email, kisha bommba kifungo cha menyu email menu 2.0 katika corner ya juu ya kushoto.
  2. Bomba mipangilio ya akaounti Settings- 2.0 (small) karibu na chini ya skirini.
  3. Chagua akaunti ya Hotmail au outlook unayotaka kubadilisha.
  4. Bomba kwenye chaguo za Days to sync kisha chagua All messages.
  5. Bofya OK kumaliza.
Note: Kama una barua pepe nyingi inaweza kuchukua dakika chache kuoanisha yote.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More