Makala hii itakupitisha katika hatua chache rahisi unaweza kuchukua ili kurekebisha masuala na kifaa yako au programu.
Table of Contents
Funga programu ambayo imekwama au haiitikii
Unaweza kwa urahisi kujiondoa katika programu kwa kutumia programu switcher.
- Boneza na ushikilie kitufe cha nyumbani chini ya kifaa.
- Programu switcher itaonekana na picha ya programu zako zinazoendelea.
- Pitia picha kutafuta programu unataka kufunga (kama una programu zaidi ya moja wazi).
- Telezesha kidole hadi kuifunga programu au bonyeza kitufe cha {X} juu kushoto kona ya picha na App ili kujiondoa.
- Bomba kitufe cha nyumbani kurudi katika skirini ya nyumbani.
Kwa maelezo zaidi, angalia Switch or quit apps.

Hakikisha kwamba kifaa chako kimeunganishwa kwenye mtandao
Baadhi ya programu zinahitaji uhusiano data kufanya kazi. Kuthibitisha kuwa una mtandao-hewa au uhusiano data na kisha jaribu tena.
- Vuta chini tray ya taarifa kutoka juu ya skirini.
- Kama ikono ya mtandao-hewa au muunganisho wa data sio bluu, bomba hilo ili kuunganisha.
Kwa maelezo, tazam Connect to Wi-Fi or data.
Angalia Masasisho
Hii ni jinsi ya mwenyewe kuangalia sasisho za mfumo na programu : {kumbuka} 'Kumbuka:' kifaa yako mtengenezaji, pamoja na mtoa huduma wako, anahusika na kusambaza mfumo wa masasisho ya Firefox OS {/ kumbuka}.
- Fungua Mipangilio ya programu kwenye kifaa chako.
- Vinjari Chini ya sehemu Kifaa na kuchagua taarifa za Kifaa.
- Kwa skirini ya taarifa za kifaa , Nenda chini kwa kifungu cha Sasisho za Programu na bomba .
Kwa maelezo, tazama Sasisha kwa toleo jipya
Anzisha upya kifaa chako
Kwa haraka, kuanzisha tena unaweza kurekebisha masuala mengi.
Kuanzisha upya Firefox OS, bofya yako kifaa na ushikilie kifungo cha kuwasha na kisha kuchagua
kutoka orodha. Ikiwa kifaa yako haitoi jibu na huwezi kuanzishwa upya , jaribu kuanzisha upya kwa nguvu:- Fungua kifuniko cha betri.
- Toa kisha rudisha betri.
- Rudisha kifuniko cha betri.
- Shikiloa Kifungo cha kuwasha kuwasha kifaa.

Kuweka upya kifaa chako
- Fungua Mipangilio ya programu kwenye kifaa chako.
- Vinjari Chini ya sehemu skirini ya taarifa za kifaa na kuchagua .
- Kwa skirini ya taarifa za kifaa , bomba .
- Bonyeza kifungo na kisha .
Programu yoyote kwamba ulinunua inaweza kuwekwa tena kwa kuingia katika Marketplace na kuangalia sehemu Programu zangu. Kwa maelezo zaidi, angalia What is the Marketplace?

Kama huwezi kuweka upya kifaa chako kwa kawaida, unaweza kufanya kile kinachoitwa "kuweka upya kwa nguvu."
- Hakikisha kifaa chako kimezimwa kabisa. Kama huwezi kuizima kwa kawaida, toa na kisha rudisha betri.
- Shikilia chini kifungo cha kuwasha, nyongeza ya sauti na kifungo cha nyumbani button zote pamoja wakati mmoja mpaka kuona upya screen.
- Bonyeza nyongeza ya sauti ili kuendelea resetting kifaa yako.
Kupata msaada wa ziada au kuwasilisha maoni
Ikiwa una matatizo ya kufanya yoyote ya hatua hizi au haziwezi kurekebisha tatizo, tafadhali wasiliana na mahali ambapo ulinunua kifaa chako au waulize wasaidizi wa jamii kupata msaada
Jumuiya ya Mozilla anatumia maoni yako ili kuboresha Firefox OS.
Kutuma maoni:
- Fungua Mipangilio ya programu.
- Vinjari Chini ya sehemu 'skirini ya taarifa za kifaa' na kuchagua 'kuboresha Firefox OS' .
- Kisha Bomba kifungo cha .
- Bonyeza 'Furaha' au 'Kusikitisha' Icon kuonyesha jinsi unavyojisikia kuhusu Firefox OS.
- Andika Maoni yako katika skirini ijayo.
- Halafu, Bomba kifungo. Umemaliza. Umesaidia kuboresha Firefox OS!