Порівняти редакції

Nini mpya katika Firefox kwa iOS (toleo 4.0)

Редакція 122901:

Редакція 122901, користувача buluma_michael,

Редакція 125386:

Редакція 125386, користувача buluma_michael,

Ключові слова:

iphone ipad ipod
iphone ipad ipod

Результати пошуку:

Jifunze kuhusu vipengee mpya katika Firefox toleo 4.0 kwa iOS.
Jifunze kuhusu vipengee mpya katika Firefox toleo 4.0 kwa iOS.

Вміст:

Karibu tena! Sasisho hii inakuja na maboresho zaidi kukupa laini, ujumuishaji zaidi katika uzoefu wa kuvinjari. Ongeza wijeti mpya ya Firefox kwa skirini yako ya Leo na kupata tabo yako mpya na viungo kunakiliwa hata kwa kasi. Unaweza pia kupata maalamisho yako katika tu hatua chache kupitia baa ya kutafuta. Sisi pia tunakupa udhibiti zaidi juu ya onyo ya cheti. __TOC__ =Firefox katika skrini yako ya Leo= Unapoongeza wijeti ya Firefox kwa skrini Leo yako, unaweza kufungua tabo mpya haraka au kutembelea viungo vilivyonakiliwa katika ubao klipu yako. ;[[Image:today ios 4.0]] {note}Tazama [[Add Firefox to the Today view on your iOS device|Ongeza Firefox kwa mtazamo Leo kwenye kifaa chako iOS]] kujifunza zaidi.{/note} =Fikia alamisho yako kwa kutumia baa ya utafutaji ( '' Baa ya Ajabu '')= Unapoingiza maandishi katika baa ya kutafuta, Firefox itaonyesha matokeo inayolingana kutoka maalamisho yako, pamoja na matokeo ya injini za utafutaji. Andika utafutaji wako na maalamisho yako itaonekana na nyota karibu nazo. ;[[Image:bookmark results ios]] =Batilisha makosa ya cheti= Kimsingi, Firefox inaweka maelezo yako salama na kukuonyeni wakati uhusiano wa tovuti sio salama. Ikiwa una hakika kwamba unataka kufikia tovuti isiyo salama, Firefox sasa inatoa fursa kuruhusu wewe kubatilisha onyo hii. ;[[Image:override cert ios 4.0]] =Chapisha kurasa za mtandao= Chapisha kurasa za mtandao kupitia [https://support.apple.com/en-us/HT201311 kichapishaji chako cha Airprint] kwa kugusa Kitufe cha kushiriki [[Image: share button ios]] chini ya skrini, ikifuatiwa na ikoni ya kuchapisha. ;[[Image:print ios 4.0]] [[Template:afterword]]
Karibu tena! Sasisho hii inakuja na maboresho zaidi kukupa laini, ujumuishaji zaidi katika uzoefu wa kuvinjari. Ongeza wijeti mpya ya Firefox kwa skirini yako ya Leo na kupata tabo yako mpya na viungo kunakiliwa hata kwa kasi. Unaweza pia kupata maalamisho yako katika tu hatua chache kupitia baa ya kutafuta. Sisi pia tunakupa udhibiti zaidi juu ya onyo ya cheti. __TOC__ =Firefox katika skrini yako ya Leo= {note}Inapatikana kwenye iOS 9 na za juu. Tembelea ukurasa wa [https://support.apple.com/en-us/HT201685 Apple Support ukurasa] kujifunza jinsi ya kupata nambari ya toleo lako. {/note} Unapoongeza wijeti ya Firefox kwa skrini Leo yako, unaweza kufungua tabo mpya haraka au kutembelea viungo vilivyonakiliwa katika ubao klipu yako. ;[[Image:today ios 4.0]] Kama kifaa yako imefungwa, Firefox itaonekana katika mtazamo wa Leo na kiungo kilichonakiliwa kuwekwa kwa siri ili kulinda faragha yako. {note}Tazama [[Add Firefox to the Today view on your iOS device|Ongeza Firefox kwa mtazamo Leo kwenye kifaa chako iOS]] kujifunza zaidi.{/note} =Fikia alamisho yako kwa kutumia baa ya utafutaji ( '' Baa ya Ajabu '')= Unapoingiza maandishi katika baa ya kutafuta, Firefox itaonyesha matokeo inayolingana kutoka maalamisho yako, pamoja na matokeo ya injini za utafutaji. Andika utafutaji wako na maalamisho yako itaonekana na nyota karibu nazo. ;[[Image:bookmark results ios]] =Batilisha makosa ya cheti= Kimsingi, Firefox inaweka maelezo yako salama na kukuonyeni wakati uhusiano wa tovuti sio salama. Ikiwa una hakika kwamba unataka kufikia tovuti isiyo salama, Firefox sasa inatoa fursa kuruhusu wewe kubatilisha onyo hii. ;[[Image:override cert ios 4.0]] {note}Tazama [[Certificate warnings in Firefox for iOS|Onyo ya cheti katika Firefox kwa iOS]] ili kujifunza zaidi.{/note} =Chapisha kurasa za mtandao= Chapisha kurasa za mtandao kupitia [https://support.apple.com/en-us/HT201311 kichapishaji chako cha Airprint] kwa kugusa Kitufe cha kushiriki [[Image: share button ios]] chini ya skrini, ikifuatiwa na ikoni ya kuchapisha. ;[[Image:print ios 4.0]] [[Template:olderversionsios]] <!--The following afterword is for an experiment in en-us only. Please remove it from your localized versions for now [[Template:afterword]]-->

Назад до історії