Comparar revisiones

Jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac

Revisión 111251:

Revisión 111251 por buluma_michael en

Revisión 125598:

Revisión 125598 por buluma_michael en

Palabras clave:

macos OSX lion leopard Mavericks 10.6 10.7 10.8 10.9

Resumen de los resultados de la búsqueda:

Makala hii inaeleza jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac.

Contenido:

Makala hii inaeleza jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac.. * Ikiwa unaboresha kutoka toleo la awali la Firefox, angalia [[Update Firefox to the latest version]]. {for win,linux}{note}'''Kumbuka:''' Makala hii inatumika tu kwa Mac. {for win}Kwa maelekezo ya kufunga Firefox juu ya Windows, angalia [[How to download and install Firefox on Windows]].{/for}{for linux}Kwa maelekezo ya kufunga Firefox juu ya Linux, angalia [[Install Firefox on Linux]].{/for}{/note}{/for} {warning}Firefox inahitaji '''Intel processor''' na '''Mac OS X 10.6''' au ya juu. Tazama [https://www.mozilla.org/firefox/system-requirements.html Mahitaji ya Mfumo]. Ikiwa unatumia toleo la kale la Mac OS , tazama [[Firefox no longer works with Mac OS X 10.4 or PowerPC processors]] au [[Firefox no longer works with Mac OS X 10.5]] kwa msaada.{/warning} = Kufunga Firefox juu ya Mac = #Tembelea [http://www.getfirefox.com/ ukurasa wa kushusha Firefox] katika kivinjari yoyote (kwa mfano, Apple Safari). Hiyo moja kwa moja itachunguza jukwaa na lugha kwenye kompyuta yako na kupendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako. #*'''Note:''' Kama unataka kuwa na uchaguzi wa lugha ya Firefox yako, tafadhali tembelea [https://www.mozilla.org/firefox/all/ ukurasa wa kushusa mifumo na lugha]. #Bonyeza kifungo cha kijani kushusha Firefox. #:[[Image:download page mac]] #Mara shusha imekamilisha, faili ya (Firefox.dmg) inapaswa kufungua peke yake na hapo kufungua dirisha la Finder zenye programu za Firefox. Kokota ikoni ya Firefox juu ya folda ya Programu ili kuunakili huko. #:[[Image:fxmacinstall]] #:{note}'''Kumbuka:'''Kama hauoni dirisha hii, bofya failiya Firefox.dmg iliyopakuliwa kuifungua.{/note} #:[[Image:Mac Install 2]] #Baada ya kukokota Firefox kwa folda ya Programu, shikilia chini kitufe cha {key control} huku ukibofya katika dirisha na kuchagua {menu Eject "Firefox"} kutoka orodha. #:[[Image:Mac Install 4]] #Unaweza kuongeza Firefox kizimbani mwako kwa urahisi. Fungua folda ya Programu yako na ukukote Firefox hadi kizimbani. #:[[Image:Add to Dock]] #:Firefox ipo tayari kwa matumizi. Bonyeza tu juu ya picha yake kizimbani kuanzisha. = Kuanzia Firefox kwa mara ya kwanza = Wakati unpoanzisha Firefox kwa mara ya kwanza, utapewa onyo kwamba Firefox ilipakuliwa kutoka kwa mtandao. Kwa sababu wewe ulishusha Firefox kutoka tovuti rasmi, unaweza bonyeza {button Open}.

[[Image:installingonmac-5-jpg60.jpg]] {note}'''Kumbuka:''' Ukiona ujumbe '''"Firefox.app" can't be opened because the identity of the developer cannot be confirmed''' tazama [[Firefox can't be opened after you install it on a Mac - How to fix]] kwa ufumbuzi.{/note} Pia, Firefox haitakuwa kivinjari cha msingi kwako na utaambiwa kuhusu jambo hilo. Hiyo ina maana kwamba wakati wa kufungua kiungo katika programu ya barua pepe yako, njia ya mkato ya mtandao, au hati ya HTML, '' 'haitafunguliwa' '' katika Firefox. Kama unataka Firefox kufanya mambo hayo, bonyeza kifungo {button Yes} ili kuweka kama default browser yako. Kama sivyo au unajaribu tu Firefox, bonyeza kifungo {button No}.

[[Image:installingonmac-6-jpg60.jpg]]
Makala hii inaeleza jinsi ya kushusha na kufunga Firefox juu ya Mac.. * Ikiwa unaboresha kutoka toleo la awali la Firefox, angalia [[Update Firefox to the latest version]]. {for win,linux}{note}'''Kumbuka:''' Makala hii inatumika tu kwa Mac. {for win}Kwa maelekezo ya kufunga Firefox juu ya Windows, angalia [[How to download and install Firefox on Windows]].{/for}{for linux}Kwa maelekezo ya kufunga Firefox juu ya Linux, angalia [[Install Firefox on Linux]].{/for}{/note}{/for} {warning}Firefox inahitaji '''Intel processor''' na '''Mac OS X 10.6''' au ya juu. Tazama [https://www.mozilla.org/firefox/system-requirements.html Mahitaji ya Mfumo]. Ikiwa unatumia toleo la kale la Mac OS , tazama [[Firefox no longer works with Mac OS X 10.4 or PowerPC processors]] au [[Firefox no longer works with Mac OS X 10.5]] kwa msaada.{/warning} = Kufunga Firefox juu ya Mac = #Tembelea [http://www.getfirefox.com/ ukurasa wa kushusha Firefox] katika kivinjari yoyote (kwa mfano, Apple Safari). Hiyo moja kwa moja itachunguza jukwaa na lugha kwenye kompyuta yako na kupendekeza toleo bora ya Firefox kwa ajili yako. #*'''Note:''' Kama unataka kuwa na uchaguzi wa lugha ya Firefox yako, tafadhali tembelea [https://www.mozilla.org/firefox/all/ ukurasa wa kushusa mifumo na lugha]. #Bonyeza kifungo cha kijani kushusha Firefox. #:[[Image:download page mac]] #Mara shusha imekamilisha, faili ya (Firefox.dmg) inapaswa kufungua peke yake na hapo kufungua dirisha la Finder zenye programu za Firefox. Kokota ikoni ya Firefox juu ya folda ya Programu ili kuunakili huko. #:[[Image:fxmacinstall]] #:{note}'''Kumbuka:'''Kama hauoni dirisha hii, bofya failiya Firefox.dmg iliyopakuliwa kuifungua.{/note} #:[[Image:Mac Install 2]] #Baada ya kukokota Firefox kwa folda ya Programu, shikilia chini kitufe cha {key control} huku ukibofya katika dirisha na kuchagua {menu Eject "Firefox"} kutoka orodha. #:[[Image:Mac Install 4]] #Unaweza kuongeza Firefox kizimbani mwako kwa urahisi. Fungua folda ya Programu yako na ukukote Firefox hadi kizimbani. #:[[Image:Add to Dock]] #:Firefox ipo tayari kwa matumizi. Bonyeza tu juu ya picha yake kizimbani kuanzisha. = Kuanzia Firefox kwa mara ya kwanza = Wakati unpoanzisha Firefox kwa mara ya kwanza, utapewa onyo kwamba Firefox ilipakuliwa kutoka kwa mtandao. Kwa sababu wewe ulishusha Firefox kutoka tovuti rasmi, unaweza bonyeza {button Open}.

[[Image:Firefox Downloaded Security Check Mac]] {note}'''Kumbuka:''' Ukiona ujumbe '''"Firefox.app" can't be opened because the identity of the developer cannot be confirmed''' tazama [[Firefox can't be opened after you install it on a Mac - How to fix]] kwa ufumbuzi.{/note} Pia, Firefox haitakuwa kivinjari cha msingi kwako na utaambiwa kuhusu jambo hilo. Hiyo ina maana kwamba wakati wa kufungua kiungo katika programu ya barua pepe yako, njia ya mkato ya mtandao, au hati ya HTML, '' 'haitafunguliwa' '' katika Firefox. Kama unataka Firefox kufanya mambo hayo, bonyeza kifungo {button Use Firefox as my default browser} ili kuweka kama default browser yako. Kama sivyo au unajaribu tu Firefox, bonyeza kifungo {button Sio Sasa}.

[[Image:Firefox as Default Browser Dialogue Mac]]

Volver al historial