Comparar revisiones
Futa historia ya kuvinjari katika Firefox kwa ajili ya iOS
Revisión 103061:
Revisión 103061 por buluma_michael en
Revisión 111352:
Revisión 111352 por buluma_michael en
Palabras clave:
historia
historia
Resumen de los resultados de la búsqueda:
Kufuta maelezo yako ya kuvinjari, kama ulizopitia, habari Autofill na upendeleo tovuti.
Kufuta maelezo yako ya kuvinjari, kama ulizopitia, habari Autofill na upendeleo tovuti.
Contenido:
[[Template:ioscoming]]
Firefox inahifadhi tovuti ambazo unaembelea katika historia yako unapojivinjari kwenye mtandao. Fuata hatua hizi ili kufuta historia yako.
#[[Template:tabios]]
#[[Template:settingsios]]
#Katika Mipangilio ya Firefox orodha, chini ya kifungu cha faragha, bomba {menu Futa Takwimu za Binafsi}.
#Katika mazungumzo ya {menu Futa Kila kitu}, bomba {button Futa} kufuta data yako yote.
{warning}'''Tahadhari''': Kama unafuta takwimu yako ya binafsi, kila tabo inayotumika itajifunga.{/warning}
[[Template:ioscoming]]
Firefox inahifadhi tovuti ambazo unaembelea katika historia yako unapojivinjari kwenye mtandao. Fuata hatua hizi ili kufuta historia yako.
#[[Template:tabios]]
#[[Template:settingsios]]
#Katika Mipangilio ya Firefox orodha, chini ya kifungu cha faragha, bomba {menu Clear Private Data}.
#Bomba kubadili [[Image:switchonios]] karibu na aina ya habari ungependa kuondoa
#Katika mazungumzo ya {menu Clear Everything}, bomba {button Clear} kufuta data yako yote.
{warning}'''Tahadhari''': Kusafisha data yako ya binafsi itafunga tabo zoko zote zilizowazi.{/warning}
= Ni aina gani ya habari ninaweza kuondoa? =
* '' 'Historia ya kujivinjari' '' - anwani na asilia kwa ajili ya tovuti ulizotembelea. Kusafisha hii huondoa tovuti hizi kutoka [[Awesome screen on iOS - access search and favorite sites in one place | maeneo ya juu yako]].
* '' 'Cache' '' - sehemu ya kurasa za mtandao zinafadhiwa katika browser kuifanya kupakia kwa kasi wakati mwingine ukiitembelea.
* '' 'Kuki' '' - mafaili ambayo yana habari kuhusu ziara yako ya tovuti, ikiwa ni pamoja na mapendekezo ya tovuti na maelezo ya mtumiaji.
* '' 'Takwimu ya tovuti nje ya mtandao' '' - Faili ambazo tovuti huhifadhi katika kifaa yako (kama umefanya kuruhusiwa) ili uweze kuendelea kuitumia nje ya mkondo.
* '' 'Logins Zilizohifadhiwa' '' - Kumbukumbu ya majina ya watumiaji na nywila.