Порівняти редакції

Majibu ya jukwaa - Kuangalia plugin

Редакція 103496:

Редакція 103496, користувача buluma_michael,

Редакція 103497:

Редакція 103497, користувача buluma_michael,

Ключові слова:

Результати пошуку:

Majibu ya jukwaa - Kuangalia plugin
Majibu ya jukwaa - Kuangalia plugin

Вміст:

Tafadhali angalia kama Plugins zako zote ni za kisasa. Kwa kufanya hivyo, kwenda [https://www.mozilla.org/plugincheck/ Tovuti ya kuangalia plugin]. Unapofika pale, tovuti itaangalia kama Plugins zako zote ni za matoleo ya karibuni. Ukiona Plugins katika orodha hiyo lina kifungo ya njano ''Sanikisha'' au nyekundu '' Sanikisha hivi sasa '', tafadhali sanikisha hizi mara moja. Kufanya hivyo, tafadhali bonyeza kila kifungo nyekundu au njano. Basi unapaswa kuona tovuti ambayo inaruhusu wewe kushusha toleo la karibuni. Bofya mara mbili Faili iliyopakuliwa kuanza ufungaji na kufuata hatua zilizotajwa katika utaratibu wa ufungaji.
Tafadhali angalia kama Plugins zako zote ni za kisasa. Kufanya hivyo, nenda kwa [https://www.mozilla.org/plugincheck/ tovuti ya kuangalia plugin]. Unapofika pale, tovuti itaangalia kama Plugins zako zote ni za matoleo ya karibuni. Ukiona Plugins katika orodha hiyo lina kifungo ya njano ''Sanikisha'' au nyekundu '' Sanikisha hivi sasa '', tafadhali sanikisha hizi mara moja. Kufanya hivyo, tafadhali bonyeza kila kifungo nyekundu au njano. Basi unapaswa kuona tovuti ambayo inaruhusu wewe kushusha toleo la karibuni. Bofya mara mbili Faili iliyopakuliwa kuanza ufungaji na kufuata hatua zilizotajwa katika utaratibu wa ufungaji.

Назад до історії