Weka upya AccuWeather au Wikipedia

Kama una simu ya bluu ZTE Open na kujaribu download masasisho kwa AccuWeather au Wikipedia programu, unaweza kupata kwamba kamwe hazimalizi kupakua.

Hivi ndivyo unaweza kupata sasishi kusakinisha:

  1. Jaribu kushusha masasisho kwa AccuWeather au Wikipedia tena. Sasisho haitashusha lakini hiyo ni sawa.
  2. Bomba maendeleo ya shusha na kisha bomba Ndio linalokuja juu kuthibitisha kwamba unataka kuacha.
    update_error
  3. Sasa, uwashe upya kifaa chako kwa kubonyeza na kushikilia kifungo cha nguvu na kisha kuchagua Anzisha.

masasisho itawekwa wakati wa kuanzisha upya na taarifa itafutwa.

 

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Watu hawa wazuri walisaidia kuandika makala hii: Michael Buluma. Waweza kusaidia pia - angala jinsi gani.