tazama maudhui ya DRM katika Firefox

Makala hii inatumika kwa toleo mpya la Firefox.

Digital Rights Management (DRM) ni teknolojia ambayo itawezesha huduma za video na redio online kutekeleza maudhui ambayo wanatoa inakutumika kulingana na mahitaji yao. Teknolojia hii inaweza kuzuia baadhi ya mambo unayoweza kufanya katika browser. Wakati baadhi ya maudhui inayodhibitiwa na DRM inaweza kutazamwa kwa kutumia Microsoft Sliverlight na Adobe Flash Plugins, huduma nyingi zasogea HTML5 video ambayo inahitaji utaratibu tofauti wa DRM inayoitwa Content Decryption Module (CDM).

Kuanzia toleo la 38, Firefox inasaidia uchezaji wa HTML5 ya maudhui inayodhibitiwa na DRM kupitia Adobe Primetime CDM. CDM hii inatekeleza mfumo wa DRM iitwaye Adobe Primetime, ambayo ilikuwa hapo awali inapatikana kupitia Adobe Flash Plugin.

Firefox hupakua na kuwezesha Adobe Primetime CDM kwa msingi kwa kuwapa watumiaji uzoefu laini juu ya maeneo ambayo yanahitaji DRM. CDM inafanya kazi katika chombo tofauti inayoitwa sandbox na utapewa taarifa wakati CDM inatumika. Unaweza pia lemaza CDM na kuchagua kujiondoa kwa sasisho baadaye kwa kufuata hatua hizi hapa chini. Mara baada ya kulemaza CDM, hata hivyo, maeneo yanayotumia aina hii ya DRM inaweza kutofanya kazi vizuri.

Baadhi ya tovuti zinaweza kutumia DRM ambayo haiungwi mkono na Adobe Primetime CDM. Msaada kwa ajili ya kuangalia maudhui hii inaweza kuhitaji Plugin zaidi.

Kulemaza Adobe Primetime CDM bila kusanidua

Kulemaza Adobe Primetime kutoka kwa Meneja ya add-ons huzuia kufanya kazi kwenye kompyuta yako na kuzuia sasisho baaday. Ili kuzima CDM Plugin:

  1. Bonyeza menyu New Fx Menu kisha chagua Add-ons. Tabo la The Add-ons Manager litafunguka.

  2. Katika Tabo la The Add-ons Manager, chagua Plugins paneli.
  3. Chagua Never Activate katika menyu karibu na Primetime Content Decryption Module provided by Adobe Systems, Incorporated.

Unaweza kukutana maeneo ambapo uchezaji wa bidhaa haiwezekani bila Adobe Primetime kuwezeshwa. Unaweza daima kuwezesha Adobe Primetime tena kwa kuchagua Always Activate kwenye orodha karibu na Primetime Content Decryption Module provided by Adobe Systems, Incorporated.

Kujiondoa kutoka kwa uchezaji wa CDM, kufuta CDMs na kuacha vipakuzi vyote vya CDM

Una chaguo wa kimataifa wa kuchagua kutoka katika uchezaji wa HTML5. Mara baada ya kujiondoa, Firefox itafuta CDMs yoyote kupakuliwa kutoka kifaa chako, kusitisha pakuzi zote za baadaye na kulemaza uchezaji wa DRM. Hii inaathiri tu redio na video vinavyodhibitiwa na HTML5. Kujiondoa kutoka kwa uchezaji wa HTML5, fuata hatua hizi:

  1. Bofya kifungo cha orodhaNew Fx Menu na uchague OptionsPreferences
  2. Bonyeza paneli ya Content.
  3. Ondoa alama hundi karibu na Play DRM content.
Bado utakuwa uwezo wa kuona video zinazodhibitiwa na DRM ambazo zinahitaji Plugins ya Sliverlight au Flash kama umewezesha. Mpangilio wa Play DRM content inadhibiti tu uchezaji wa HTML5, si Plugins.

Unaweza kukutana maeneo ambapo uchezaji wa maudhui haiwezekani bila DRM kuwezeshwa. Unaweza daima kuwezesha DRM tena kwa kufungua Options Preferences > jopo la maudhui na kuweka alama hundi karibu na Play DRM content .

Jukwaa zinazoungwa mkono

Kwa sasa, Adobe Primetime inapatikana tu kwa Windows Vista/7/8/10 ukitumia mfumo wa 32-bit na 64-bit ya Firefox. Mac OS X, Linux na Windows XP na mfumo wa 64-bit ya Firefox hazina msaada kwa sasa.

Uwezo sawa wa kujiondoa utapewa kwa jukwaa zote mpya ambapo Firefox inakubaliana na Adobe Primetime.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More