Shiriki ukurasa wa mtandao kupitia Firefox Share

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Firefox ina kipengele iliyojengwa ndani ambayo inaruhusu wewe kushiriki kurasa za mtandao katika bonyezo chache tu. Hakuna nyongeza au programu ya ziada inahitajika.

Kuongeza mitandao yako ya kijamii kwa Firefox

  1. Bofya ikoni ya kushiriki share icon fx kwenye Firefox. (Tazama Customize Firefox controls, buttons and toolbars kujifunza zaidi juu ya kusongesha vifungo katika nafasi mbalimbali.)
    share fx
  2. Kama unatumia kipengele hiki kwa mara ya kwanza, kuchagua kijamii mtandao, unataka kuongeza. Kufuata prompts kuingia katika.
  3. Mitandao yako unayoipenda ya kijamii itaonekana kama ikoni.
    share fx icons

Kushiriki kiungo

  1. Funga kurasa unayotaka kushiriki.
  2. Bonyeza ikoni ya kushiriki share icon fx on Firefox.
  3. Chagua mtandao wa jamii unayotaka kushiriki ukurasa nayo.
    share twitter

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More