Contributors
Contributors
Last updated: 12/10/2015
73% of users voted this helpful
Uliza swali kuhusu Firefox, Firefox kwa Android, Firefox kwa iOS, Firefox OS, Webmaker, au Thunderbird katika jukwaa usaidizi
Kabla ya kuchapisha swali lako, tafadhali soma:
Kama unataka kuongeza screenshot kusaidia kueleza swali lako, tafadhali pia usome:
- Nawezaje kujenga screenshot ya tatizo langu? (Windows, Linux, au Mac OS)
Unaweza kuuliza swali katika jukwaa la msaada kwa kubonyeza link hapo chini. Utachukuliwa kupitia mfululizo wa kurasa kuweza kuamua bidhaa na mada ya swali lako, ili timu yetu ya wachangiaji wa kujitolea wanaweza kupata mtu bora ya kukusaidia.
Kumbuka: Unahitaji kujiandikisha katika Mozilla Support kabla ya kuuliza swali, lakini itakuwa ni ya thamani yake!
Rasilimali za nyongeza
Kama msingi yetu wa maarifa haina jibu, unaweza pia kujaribu hizi rasilimali nyingine za msaada: