Kunawirisha Firefox - kuweka upya add-ons na mazingira

Ikiwa unakumbana na matatizo na Firefox, kuweka upya inaweza kusaidia. kuweka upya kipengele inatatua masuala mengi na kurejesha Firefox kwa hali chaguo-msingi wake wakati kuokoa taarifa yako muhimu kama maalamisho, nywila, na tabo wazi.
'Kumbuka:' Upanuzi na data ya upanuzi zitaondolewa.
Ikiwa unakumbana na matatizo na Firefox, kuweka upya inaweza kusaidia. kuweka upya kipengele inatatua masuala mengi na kurejesha Firefox kwa hali chaguo-msingi wake wakati kuokoa taarifa yako muhimu kama maalamisho, nywila, na tabo wazi.
Kumbuka: Upanuzi na data ya upanuzi zitaondolewa.

Rudisha Firefox kwa hali chaguo-msingi yake

 1. Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Msaada menyu na kisha Habari la suluhisho.Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Firefox button, nenda kwenyeMsaada menyu ndogo na kisha chagua Habari la suluhisho.Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza Help menyuJuu ya dirisha la Firefox, bonyeza Habari la suluhisho.
  Reset Firefox 1 - WinXP Troubleshooting info - win Troubleshooting info - mac Troubleshooting info - lin
  Ikiwa huwezi kupata menyu ya Msaada, chapa about:support kwenye baa yako ya anwani ili kuleta ukurasa wa Habari la suluhisho .
 2. Bonyeza kifungo Seti upya Firefox} katika kona ya juu kulia ya kurasa ya Kusuluhisha Habari.
  Reset Firefox 2 - WinXP Reset Firefox - Win - 1 Reset Firefox - Mac - 1 Reset Firefox - Lin - 1
 3. Kuendelea, bofya Seti upya Firefox katika dirisha la uthibitisho linalofungua.Kuendelea, bofya Seti upya Firefox katika karatasi ambayo latokea chini.
 4. Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. BofyaMaliza na Firefox itafunguka.Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya imefanyika na Firefox itafunguka.
 1. Bonyeza kifungo cha menyu New Fx Menu na kisha bonyeza msaada Help-29 .
 2. Kutoka orodha ya Msaada Habari la suluhisho.
  Ikiwa huwezi kupata Msaada kwenye orodha, chapa 'kuhusu: msaada' katika baa ya anwani kuleta ukurasa wa 'Habari Kusuluhisha' .
 3. Nonyeza Seti upya Firefox… katika kona ya juu kulia ya ukurasa wa Kusuluhisha Habari.
  Reset 29 Win Reset 29 Mac Reset 29 Lin
 4. Kuendelea, bonyeza Seti upya Firefox katika dirisha la uthibitisho inayofungua.
 5. Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya Maliza na Firefox itafungua.
 1. Bonyeza kifungo cha Refresh Firefox moja kwa moja, kama wewe ni kuangalia ukurasa huu katika Firefox (itakuwa si kazi kama unatumia browser tofauti). Unaweza pia kupata kifungo Refresh juu ya kona ya juu kulia wa Firefox kuhusu: msaada Troubleshooting Information.
 2. Kuendelea, bonyeza Seti upya Firefox katika dirisha la uthibitisho inayofungua.
 3. Firefox itafungika na kuwekwa upya. Wakati imekamilika, dirisha itakuwa kuorodhesha habari ambayo liliingizwa. Bofya Maliza na Firefox itafungua.

Note: hapa pia Refresh Firefox Seti upya Firefox kifungo katika Kuanzisha Firefox katika modi salama dirisha, kama huwezi kuanza Firefox kawaida.

Je, kipengele cha kuweka upya kinafanya nini?

Mazingira yako yote ya Firefox na maelezo ya kibinafsi zinahifadhiwa kwenye folda ya profaili]. Kuweka upya kipengele hufanya kazi kwa kujenga folda mpya ya wasifu kwa ajili yako wakati wa kuhifadhi data zako muhimu.

Add-ons kwa kawaida huhifadhiwa ndani ya folda ya wasifu wa Firefox, kama vile extensions na mandhari, zitatolewa. Add-ons katika maeneo mengine, kama vile plugins, hazitaondolewa lakini mapendeleo yoyote yaliyobadilishwa (kama vile Plugins zilizo lemzawa) zitawekwa upya.

Kunawirisha Firefox

Firefox itaokoa vitu hivi:

 • Maalamisho
 • Historia ya kuvinjari
 • Nywila
 • Kuki
 • Maelezo ya fomu za mtandao
 • maalamisho
 • Historia ya kuvinjari
 • Nywila
 • Kuki
 • Maelezo ya fomu za mtandao
 • Kamusi ya binafsi
 • Maalamisho
 • Historia ya kuvinjari
 • Nywila
 • Madirisha wazi, tabo na makundi ya tabo
 • Kuki
 • Maelezo ya fomu za mtandao
 • Kamusi ya binafsi

Vitu hivi na mazingira zitatolewa:

Kumbuka: Profaili yako nze itahifadhiwa kwenye Sesktop na jina "Old Firefox Data"". Ikiwa resetrefresh haikutatua tatizo lako unaweza kurejesha baadhi ya habari zililozookolewa na kuiga failia kwa profaili mpya uliyounda.. Kama huna haja ya folda hii tena, unapaswa kufuta kwa sababu ina habari nyeti.

Kushiriki makala hii: http://mzl.la/1JWEn7c

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Watu hawa wazuri walisaidia kuandika makala hii: buluma_michael. Waweza kusaidia pia - angala jinsi gani.