Jinsi ya kuweka ukurasa wa nyumbani

Tutaweza kuonyesha jinsi ya moja kwa moja kufungua ukurasa wa mtandao yoyote unataka wakati wewe kuzindua Firefox au bonyeza kifungo cha nyumbani Home Button .

Set or change your home page

 1. Fungua ukurasa wa mtandao kwamba unataka kuweka kama ukurasa wako wa nyumbani.
 2. Bonyeza ikoni katika upande wa kushoto wa baa ya anwani, Vuruta kifungo Home, na kuachilia
  Home page Win1 Home page Mac1 Home page Lin1
 3. Bonyeza Ndiyo kuweka ukurasa hii kama ukurasa wako wa nyumbani.

 1. Fungua tabo na ukurasa wa mtandao unataka kutumia kama ukurasa wako wa nyumbani.
 2. Drag na kuacha tabo ambayo kwenye kifungo Home The image "Nyumbani Button" does not exist..
  Home Page 29 - WinXP Home Page 29 - Win8 Home Page 29 - Mac Home Page 29 - Linux
 3. Bonyeza Ndiyo kuweka ukurasa hii kama ukurasa wako wa nyumbani.

'Tip:' Zaidi ya ukurasa wa nyumbani mazingira zinapatikana katika ChaguoMapendeleo window.

 • Bonyeza Firefox kifungo, chagua Chaguzi na kisha uchague General jopo. Bonyeza Zana menu, chagua Chaguzi na kisha chagua General jopo. Bonyeza Firefox menu, chagua Mapendekezo ... na kisha uchague General jopo. {wa simu za ya linux} Bonyeza Hariri menu, kuchagua Mapendekezo na kisha kuchagua General jopo.
  • Katika orodha drop-down unaweza kuchagua kuwa na Firefox 'kuonyesha tupu ukurasa' juu ya startup au kuonyesha yote ya 'lako' 'madirisha na tabo kutoka awamu iliyopita' .
  • Unaweza pia kuweka kurasa nyingi kama ukurasa wako wa nyumbani: Fungua kila ukurasa katika tabo tofauti na bonyeza Matumizi Makala sasa.
 • Bonyeza kifungo cha orodha New Fx Menu , chagua {Chaguzi button} {/ for}
  Mapendekezo {/ for} na kisha uchague General jopo.
  • Katika orodha drop-down unaweza kuchagua kuwa na Firefox 'kuonyesha tupu ukurasa' juu ya startup au kuonyesha yote ya 'lako' 'madirisha na tabo kutoka awamu iliyopita' .
  • Unaweza pia kuweka kurasa nyingi kama ukurasa wako wa nyumbani: Fungua kila ukurasa katika tabo tofauti na bonyeza Matumizi Makala sasa.

Kurejesha ukurasa wa nyumbani mbadala

Kama unataka kufuta lako ukurasa wa nyumbani mabadiliko maalum, hii ni jinsi ya kufanya hivyo:

 1. Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha Firefox na kisha chagua OptionsJuu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo chae Tools na kisha chagua OptionsKwenye baa ya orodha, bonyeza Firefox kisha chagua Preferences...uu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha Edit na kisha chagua Preferences

  Bofya kifungo cha orodha New Fx Menu na uchague OptionsPreferences

 2. Chagua General jopo.
 3. Katika sanduku Startup, bonyeza Restore to Default.
  Home page Win3 Home page Mac3 Home page Lin3
 4. Bonyeza OK kuifunga Dirisha la Chaguzi.Bonyeza Close kuifunga Dirisha la Chaguzi.Funga Dirisha la Mapendeezo. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.

Kama unataka kufuta lako ukurasa wa nyumbani mabadiliko maalum, hii ni jinsi ya kufanya hivyo:

 1. Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha Firefox na kisha chagua OptionsJuu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo chae Tools na kisha chagua OptionsKwenye baa ya orodha, bonyeza Firefox kisha chagua Preferences...uu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha Edit na kisha chagua Preferences

  Bofya kifungo cha orodha New Fx Menu na uchague OptionsPreferences

 2. Chagua General jopo.
 3. Katika sanduku Startup chini ya Ukurasa: clickRestore to Default.
  HomePage-Fx34Win HomePage-Fx34Mac HomePage-Fx34Lin
 4. Bonyeza OK kuifunga Dirisha la Chaguzi.Bonyeza Close kuifunga Dirisha la Chaguzi.Funga Dirisha la Mapendeezo. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.

Kama unataka kufuta lako ukurasa wa nyumbani mabadiliko maalum, hii ni jinsi ya kufanya hivyo:

 1. Juu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha Firefox na kisha chagua OptionsJuu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo chae Tools na kisha chagua OptionsKwenye baa ya orodha, bonyeza Firefox kisha chagua Preferences...uu ya dirisha la Firefox, bonyeza kifungo cha Edit na kisha chagua Preferences

  Bofya kifungo cha orodha New Fx Menu na uchague OptionsPreferences

 2. Chagua General jopo.
 3. Katika sanduku Startup chini ya Ukurasa: click Restore to Default.
  restore default fx38
 4. Bonyeza OK kuifunga Dirisha la Chaguzi.Bonyeza Close kuifunga Dirisha la Chaguzi.Funga Dirisha la Mapendeezo. Funga kurasa la kuhusu: mapendeleo '.Mabadiliko yoyote umefanya moja kwa moja itaokolewa.

Una matatizo?

Tuna majibu:

{/ for}

Makala hii ilikuwa na umuhimu? Tafadhali subiri...

Watu hawa wazuri walisaidia kuandika makala hii: buluma_michael. Waweza kusaidia pia - angala jinsi gani.