Majibu ya jukwaa - Kuangalia plugin

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Tafadhali angalia kama Plugins zako zote ni za kisasa. Kufanya hivyo, nenda kwa tovuti ya kuangalia plugin.

Unapofika pale, tovuti itaangalia kama Plugins zako zote ni za matoleo ya karibuni. Ukiona Plugins katika orodha hiyo lina kifungo ya njano Sanikisha au nyekundu Sanikisha hivi sasa , tafadhali sanikisha hizi mara moja.

Kufanya hivyo, tafadhali bonyeza kila kifungo nyekundu au njano. Basi unapaswa kuona tovuti ambayo inaruhusu wewe kushusha toleo la karibuni. Bofya mara mbili Faili iliyopakuliwa kuanza ufungaji na kufuata hatua zilizotajwa katika utaratibu wa ufungaji.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More