Rekodi ya simu haimalizi upakiaji

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Baada ya kuhuisha Firefox OS, baadhi ya watu hawawezi kufungua rekodi ya simu. Kujaribu kufungua matokeo yake ni ujumbe inayoendelea ambayo inapata kukwama katika baadhi ya hatua (kwa mfano 10%) na kamwe haitamaliza.

Tunaifanyia kazi swala hili. Tutaweza kusasisha makala hii wakati suala limetatuliwa Wakati huo, mpeanaji huduma wako bado wanaweza kuwa anatoa sasisho kwako ili kusuluhisha swali hili kwa kifaa chako.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More