Tafsiri nakala za msaada!

Hebu tufanye Mozilla Support kuzungumza lugha yako!

Msaada makala hazipatikani katika lugha yako bado? Unataka kujiunga na timu ya ajabu na kuzitafsiri? Utawasaidia mamilioni ya watumiaji katika lugha yako. Ya kishujaa, ndio?

Nisajili »

Tafsiri nakala za msaada kwa lugha yako

Jinsi inavyofanya kazi

1
Jisajili kama mfanyakazi wa kujitolea
2
Angalia nyaraka zetu
3
Hariri makala katika lugha yako!
Kutafsiri 1 makala inaweza kusaidia watumiaji 1,000 katika lugha yako