Kuokoa ulimwengu

kutoka faraja ya nyumba yako

Tunahitaji msaada wako!

Inatumiwa na watu zaidi ya milioni 400, Mozilla Support inaendeshwa na wasaidizi wa kujitolea, na ni muhimu zaidi kuliko awali. Hapa ndipo unapoingilia.

Mbona niweze kusaidia?

Saidia mamilioni ya watumiaji kupata zaidi kutoka kwa browser yao wanayoipenda. Michango yako itafikia mamilioni ya watumiaji duniani kote, na unaweza kufanya hivyo kutoka kwa faraja ya nyumba yako!

Chagua njia ya kujihusisha

Kutuhusu sisi

Mozilla Support ni jamii ya kujitolea na shauku na wafanyakazi kujaribu kusaidia watumiaji wetu kote duniani. Jiunge nasi kwa adventure ya ajabu!
Uliza swali

Una shida na bidhaa ya Mozilla na unataka msaada?