Comparar revisiones

Template:settingsios

Revisión 132775:

Revisión 132775 por buluma_michael en

Revisión 145733:

Revisión 145733 por buluma_michael en

Palabras clave:

Resumen de los resultados de la búsqueda:

Kigezo kwa ajili ya vipimo katika Firefox kwa ios
Kigezo kwa ajili ya vipimo katika Firefox kwa ios

Contenido:

Bomba kifungo cha orodha chini ya skrinin kisha bomba ikoni ya'' 'Settings' ''. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa jopo ijayo ya kwanza.) {note} '' 'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' '' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya '' Settings '' au sasisha toleo la karibuni kwa njia ya Hifadhi ya App. <br> [[Image:settings ios]]{/note}
Bomba ikoni ya'' 'Settings' '' kwenye orodha chini ya skrini. (Kuna haja ya kutelezesha kidole kwenda kwa paneli ya kwanza itakayo tokea.) {note} '' 'Je, Huwezi kuona kifungo cha orodha?' '' Unaweza kuwa katika toleo nzee la Firefox. Bomba ikoni cogwheel kufungua menyu ya '' Settings '' au downloadi toleo la karibuni katika Hifadhi ya App. <br> [[Image:settings ios]]{/note}

Volver al historial