Comparar revisiones

Ongeza kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako

Revisión 101938:

Revisión 101938 por buluma_michael en

Revisión 104351:

Revisión 104351 por buluma_michael en

Palabras clave:

Resumen de los resultados de la búsqueda:

Firefox kwa iOS inakuwezesha kuokoa kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako ili uweze kutazama baadaye katika usafi na hali ya msomaji ya kirafiki.
Firefox kwa iOS inakuwezesha kuokoa kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako ili uweze kutazama baadaye katika usafi na hali ya msomaji ya kirafiki.

Contenido:

Huna muda wa kutosha? Hifadhi kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako na kuzisoma baadaye kwenye iPhone yako, iPad au iPod. =Ongeza ukurasa kwa orodha ya Masomo yako= #[[Template:shareios]] #Bomba Firefox kwenye orodha inayotokea juu. #Weka alama hundi karibu na {menu Ongeza Orodha Ya Masomo} kama haina. (Hiari: Ondoa alama karibu na {menu Ongeza Maalamisho} kama hutaki kuweka alama ukurasa.) #Bomba '''Ongeza''' kumaliza. <!-- for v1.0 build 32 this doesn't work =Add a page from Reader View= #Tap the Reader View icon [[Image:Reader mode]]. #Tap the ''Add to Reading List'' [[Image:readinglist1]] icon at the top of the screen. #To remove a web page, tap the trash icon --> <!--Need reading list trash icon here--> =Tazama orodha ya Masomo yako= Tayari kusoma? Fuata hatua hizi ili kutazama orodha ya masomo yako: #Bomba baa ya anwani ili kuleta skirini ya nyumbani. #Bomba ikoni ya orodha ya masomo [[Image:Reader mode]] kuangalia orodha yako. #;[[Image:FxiOS-sample-reading-list]] #Kuondoa ukurasa wa mtandao, swipe kushoto na bomba '''Ondoa'''. #;[[Image:FxiOS-remove-reading-list-article]]
[[Template:ioscoming]] Huna muda wa kutosha? Hifadhi kurasa za mtandao kwa Orodha Ya Masomo yako na kuzisoma baadaye kwenye iPhone yako, iPad au iPod. =Ongeza ukurasa kwa orodha ya Masomo yako= #[[Template:shareios]] #Bomba Firefox kwenye orodha inayotokea juu. #Weka alama hundi karibu na {menu Ongeza Orodha Ya Masomo} kama haina. (Hiari: Ondoa alama karibu na {menu Ongeza Maalamisho} kama hutaki kuweka alama ukurasa.) #Bomba '''Ongeza''' kumaliza. =Kuongeza ukurasa kutoka Msomaji= #Bomba ikoni ya msomaji [[Image:Reader mode]]. #Bomba ikoni ''Add to Reading List'' [[Image:readinglist1]] juu ya skrini. #Kuondoa ukurasa, bomba ikoni ya taka [[Image: trash icon fx iOS]] =Tazama orodha ya Masomo yako= Tayari kusoma? Fuata hatua hizi ili kutazama orodha ya masomo yako: #Bomba baa ya anwani ili kuleta skirini ya nyumbani. #Bomba ikoni ya orodha ya masomo [[Image:Reader mode]] kuangalia orodha yako. #;[[Image:FxiOS-sample-reading-list]] #Kuondoa ukurasa wa mtandao, swipe kushoto na bomba '''Ondoa'''. #;[[Image:FxiOS-remove-reading-list-article]]

Volver al historial