Jinsi ya kuongeza na kuondoa vialamisho katika Firefox kwa iOS

Alamisha kurasa yako uipendayo ili uweze kuizuru baadaye.

Alamisha Ukururasa

  1. Fungua ukurasa wa mtandao unataka kuweka alamisho.
  2. Bomba nyota katika orodha ya urambazaji chini ya skirini.

Nyota itageuka kuwa bluu bookmarked ios wakati ukurasa wako imealamishwa.

Kama hauoni nyota, rejea juu ya ukurasa mpaka baa ya urambazaji itakapo onekana.

Ondoa Alamisho

  1. Fungua ukurasa wa mtandao unataka kuweka alamisho.
  2. Bomba nyota ya bluu kuondoa alamisho.

Nyota itarejea kuwa muhtasari unbookmark ios alamisho linapoondolewa.

Kama hauoni nyota, rejea juu ya ukurasa mpaka baa ya urambazaji itakapo onekana.

Makala hii ilikuwa na umuhimu?

Tafadhali subiri...

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More