Kuangalia kiwango cha betri

This article is no longer maintained, so its content might be out of date.

Kuangalia kiwango cha betri:

  1. Bomba kwa settings icon kufungua programu ya mipangilio.
  2. Nenda chini katika kifungu cha kifaa na bomba kwenye Battery.
    BatterySettingsFirefoxOSWakaFlockabattery fos 1.3
    • Kiwango cha betri cha sasa inaonekana katika mfumo wa asilimia.

Chini ya sasa asilimia ngazi, utawezs pia kuona Power saver mode. Tafadhali tembelea makala haya kujifunza zaidi juu ya kuokoa nguvu ya betri.

Dokezo: Kiwango cha betri pia inaonekana katika upau wa arifa.
  1. Fungua programu ya Mipangilio Settings 1.3Settings 1.4Settings- 2.0 (small) .
  2. Nenda chini katika kifungu cha kifaa hadi unapoona Battery. Mtazamo huu inaonyesha asilimia ya maisha ya betri iliyobakia.

Tafadhali tembelea makala haya kujifunza zaidi juu ya kuokoa nguvu ya betri.

Tip: Kiwango cha betri pia inaonekana katika upau wa arifa.

These fine people helped write this article:

Illustration of hands

Volunteer

Grow and share your expertise with others. Answer questions and improve our knowledge base.

Learn More